Writen by
sadataley
2:52 PM
-
0
Comments
Pwani. Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo ameahirisha kufanya mazungumzo na wazee wa Kibiti.
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Gullamuhusein Kifu amesema ni kutokana na mkuu huyo kupangiwa majukumu mengine ya kikazi.
Awali, Mabeyo alitarajiwa kufika Kibiti kufanya mazungumzo na wazee kwa
ajili ya kuimarisha hali ya usalama mkoani humo ambamo kumekuwa na
mfululizo wa mauaji hasa ya viongozi wa vijiji.
BREAKING: Mkuu wa Majeshi aahirisha ziara yake Kibiti

No comments
Post a Comment