Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, June 17, 2017

Malkia Elizabeth: Kuna majonzi kufuatia majanga yaliyoikumba Uingereza

The Queen meets local people

Haki miliki ya pichaPA
Image captionMalkia akikutana na waathiriw wa moto
Malkia Elizabeth wa Uingereza amesema ni vigumu kuepuka majonzi kufuatia kile alichosema ni msururu wa majanga yaliyokumba taifa hilo hivi karibuni.
The Queen and members of the publicHaki miliki ya pichaPA
Image captionMalkia akiwa na wananchi
Katika ujumbe wa kuadhimisha rasmi siku yake ya kuzaliwa, malkia amesema watu wa nchi hiyo wameonyesha mshikamano licha ya changamoto zinazoikabili.
Grenfell Tower
Image captionGrenfell Tower
Serikali ya Uingereza imesema itafanya kila iwezalo kurejesha imani ya walioyonusurika mkasa wa mbaya wa motokayika jengo la Grenfel Tower mjini London.
Grenfell street protestHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionWaandamanajimjini London wakitaka hatua kuchukuliwa
Hii ni baada ya waziri mkuu Bi Theresa May,kuzomewa na waandamanaji waliyokuwa na ghadhabu. Watu thalathini wamethibitishwa kufariki katika mkasa huo.
Grenfell TowerHaki miliki ya pichaEPA
Image captionHuenda manusura wasipatikane
Hotuba ya Malkia Elizabeth inafuatia shabulizi la kigaidi la mwezi uliyopita mjini Manchester na pamoja na lile la London Bridge.
Vigil outside Notting Hill Methodist ChurchHaki miliki ya pichaPA
Image captionMakumbusho yalewekwa karibu na eneo la tukio
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment