Writen by
sadataley
1:27 PM
-
0
Comments
Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan pamoja na viongozi wengine wa zamani kutoka Afrika wamewasilisha ombi la dharura la kuwepo kwa amani wakati wa mpito nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Rais Kabila hakujiuzulu wakati muda wake wa utawala wake ulipokamilika mwaka uliopita hatua iliozua mgzozo wa kisiasa.
Chini ya makubaliano yaliotiwa saini mkesha wa mwaka mpya ,uchaguzi unafaa kufanyika mwaka huu.
Lakini Bwana Annna na viongozi wengine wa Afrika wanasema kuwa makubaliano hayo hayaheshimiwi hali inayolifanya taifa hilo kuwa katika hatari.
BBC
No comments
Post a Comment