|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC) wakati wa ziara yake ya kutembelea vyombo vya
habari Jijini Dar es Salaam 10 Aprili, 2017. |
|
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) akimuonyesha Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
picha za Viongozi mbalimbali waliowahi kuongoza TBC wakati wa ziara yake
ya kutembelea vyombo vya
habari Jijini Dar es Salaam 10 Aprili, 2017. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akionyeshwa mikanda ya santuri zenye hotuba za Mwalimu Nyerere enzi za
uhai wake wakati wa ziara yake katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
10 Aprili, 2017. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akionyeshwa baadhi ya machapisho yaliyohifadhiwa ndani ya studio za
Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wakati wa ziara yake katika Taasisi
hiyo Jijini Dar es Salaam 10 Aprili, 2017. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akiangalia picha mbalimbali za wasanii na watu maarufu katika ubao
wakati wa ziara yake katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam 10 Aprili,
2017. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akimsikiliza mtangazaji wa Redio France International (RFI) wakati wa
ziara yake katika studio za redio hiyo Jijini Dar es Salaam 10 Aprili,
2017. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kushoto) akiwa ndani ya studio ya Redio France International (RFI)
wakati wa ziara yake katika studio za redio hiyo Jijini Dar es Salaam 10
Aprili, 2017.Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Dkt.
Hassan Abbasi. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akiangalia mtambo wa redio uliokuwa ukitumika zamani enzi za ukombozi wa
Bara la Afrika ambapo matangazo yake yalirushwa na mtambo huo wa Redio
Tanzania Dar es Salaam (RTD) kipindi hiko. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akiangalia moja ya mitambo ya redio inayotumika sasa kurusha matangazo
ya moja kwa moja ndani ya studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
Makao Makuu-Barabara ya Nyerere. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akiangalia meza iliyokuwa ikitumika na Mwalimu Nyerere wakati alipokuwa
akitembelea Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) enzi za uhai wake. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akiagana na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt.
Ayub Rioba mara baada ya kukamilisha ziara yake katika Taasisi hiyo 10
Aprili, 2017 Jijini Dar es Salaam. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Shirika la Utangazaji la
Taifa (TBC) pamoja na watendaji wengine toka Wizarani mara baada ya
kukamilisha ziara yake katika Makao Makuu ya Taasisi hiyo 10 Aprili,
2017 Jijini Dar es Salaam. |
|
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)
No comments
Post a Comment