Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, December 1, 2016

Morocco yadai kuzuiwa kujiunga na AU

Moroccco ilijiondoa mwaka 1984 wakati AU ilitambua eneo la Western Sahara kuwahuru

Image captionMoroccco ilijiondoa mwaka 1984 wakati AU ilitambua eneo la Western Sahara kuwahuru

Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Morocco imemlaumu mkuu wa tume ya Muungano wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kuhujumu jitihada zake za kujiunga na muungano huo miaka 32 tangu iondoke.
Moroccco ilijiondoa mwaka 1984 wakati AU ilitambua eneo la Western Sahara kuwa huru na kulisajili kama mwanachama wake.
Morocco inasema kuwa eneo la Western Sahara ni sehemu ya himaya yake.
"Takriban nchi 36 kati ya 54 wanachama wa AU hazitambui eneo la Western Sahara kama lililo huru na ni wakati wa kufuta uamuzi huo ," ilisema taarifa ya wizara ya mashuari ya nchi za kigeni.
Chanzo: BBC SWAHILI
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment