Writen by
sadataley
8:18 PM
-
0
Comments
Waziri Mkuu, ameahidi kuanzia pale Serikali ya Awamu ya Nne itakapoishia akisema yanayoonekana sasa ni matunda ya CCM.
“Nikiingia nimepanga kuongeza ukuaji wa uchumi wa pamoja ili kuondoa wigo kati ya mwenye nacho na asiyekuwa nacho.”
William Ngeleja
Mbunge wa Sengerema amesema atapambana na maadui sita ambao ni maradhi, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa, ufisadi na kukuza maadili.
Benard Membe
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ameahidi kusimamia utawala bora kwa kuhakikisha kila mmoja anawajibika katika nafasi yake kwa uadilifu na kuzingatia sheria za nchi. Pia atasimamia utawala bora, elimu na maendeleo ya jamii.
Peter Nyalali
Ameahidi kukuza demokrasia, kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimbali zikiwamo za uchumi, jamii, michezo, nishati, utawala bora na kuimarisha upatikanaji wa ajira kwa vijana na kusimamia usalama wa Taifa.
January Makamba
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ameahidi kuinadi Ilani ya CCM na kuunda baraza dogo la watu 18, waadilifu na wachapakazi.
Dk Khamis Kigwangalla
Mbunge wa Nzega atapambana na rushwa ikiwa ni pamoja na kuichukia, kukuza ajira, kubana matumizi kuwezesha wajasiriamali kupambana na umasikini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment