Writen by
sadataley
12:08 PM
-
0
Comments
Tukio hili litakuwa ni kuanzia saa moja hadi saa tatu na nusu asubuhi
kwenye ibada ya kiingereza na kisha baadae saa nne asubuhi hadi saa sita
na nusu mchana kwenye ibada ya Kiswahili. Karibuni bila kukosa Mbezi
Beach A, VCCT.
No comments
Post a Comment