Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, November 4, 2013

TRA Yapata Gari lenye mbambo Scana wa Kukagulia Makontena Bandarini Zenj.

Gari Maalum lenye mtambo wa kukagulia makontena kujuwa thamani ya mzingo ulioko katika kontena baada ya kupitishwa katika mtambo huu unaotumia Scana kuona kilichomo ndani ya kontena, bila ya kufunguliwa kama ilivyokuwa hapo nyuma makontena hukaguliwa kwa kufunguliwa na kutizama kila kilichomo ndani. Mtambo huu utasaidia baadhi ya wafanyabiashara ambao hudangaya na kuandika bidhaa tafauti na ziliomokatika kontena na kuisababishia Serekali kukosa mapoto kutokana ushuru wa bidhaa zinazoingizwa Zanzibar. 
Likiwa katika sehemu yake maalum ya kukagulia makontena katika bandari ya Zanzibar  kama linavyonekana pichani likisubiri kufanya kazi yake 
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment