Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, October 4, 2013

WATU ZAIDI YA 50 WAOKOKA NA WENGINE 62 WABATIZWA MKUTANO WA INJILI ZANZIBAR

Watu zaidi ya 50 wameokoka na wengine 62 wamebatizwa katika mkutano wa injili wa siku tano ambao umeandaliwa na kufanyika katika kanisa la City Christian Centre visiwani Zanzibar. Hizi ni baadhi ya picha za mkutano huo jinsi ulivyokuwa kama zilivyowekwa kupitia katika blog ya kanisa hilo la CCC Zanzibar.
Askofu Kaganga akitoa maelekezo kwa waongofu wapya.
Siku ya mwisho ya mkutano.
Askofu Kaganga na Askofu Simon Masunga wakiongoza maombi wakati wa mkutano
Habari kwa hisani ya gospelkitaa.blogspot.com
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment