Writen by
sadataley
7:29 PM
-
0
Comments

Papa Francis alipokuwa akiongea na wahumini hao leo hii katika kanisa la Mtakatifu Petro, akiwaasa waumini hao kumfuata Yesu Kristo kwa njia ya msalaba.
Pia aliongeza kwa kusema kwamba katika kumfuata Kristo yatupasa kujikana sisi wenyewe na kisha tuufuate msalaba huo.
Imetafsiriwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment