Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, September 4, 2013

Dk Shein amuapisha Waziri wa Fedha


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Omar Yussuf Mzee,kuwa Waziri wa Fedha,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi

Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zainab Omar Mohamed,(kushoto) Waziri Machano Omar Saidi,na Waziri Haji Faki Shaali,(hawana Wizara maalum) na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Rashid Seif,(kulia) wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar kushuhudia kuapishwa kwa Omar Yussuf Mzee kuwa Waziri wa Fedha, leo asubuhi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha Omar Yussuf Mzee,baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Fedha,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment