Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, September 21, 2013

Afghanistan yafurahi Taliban afunguliwa

Mullah BaradarWakuu wa Pakistan wanasema wamemuachilia huru mfungwa mwenye cheo katika kundi la Taliban - Mullah Abdul Ghani Baradar - ili kurahisisha juhudi za mapatano nchini Afghanistan.
Serikali ya Afghanistan imekaribisha habari hizo na inamuona Mullah Baradar kuwa mmoja kati ya maafisa waandamizi walio tayari kuzungumza.
Afisa mmoja wa Afghanistan alimuelezea Mullah Baradar - naibu kiongozi wa zamani wa Taliban - kuwa mjumbe wa amani.
Hata hivyo, waandishi wa habari wanasema haijulikani Mullah Baradar ana kauli gani bado katika kundi hilo la wapiganaji.
Alikamatwa mjini Karachi, Pakistan, mwaka wa 2010.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment