Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, August 1, 2013

TWAPASWA KUJIULIZA KWA' AIBU YENYE NEEMA NDANI YAKE' PAPA FRANCIS ALIWAAMBIA MAJESUITI

Hayo yaliombwa jana na Papa Francis katika misa aliyoongoza kwamba yeye na wafuasi wengine ambao ni Majesuiti watapokea 'Aibu yenye neema ndani yake' katika mapungufu yao na katika unyenyekevu wao hakuna awezaye kuyatambua isipokuwa Kristo Yesu pekee.
                           Pope Francis leaves the Church of the Gesù in Rome (CNS)
     Papa Francis akiwa anatoka nje ya kanisa la Gesù huko Roma

Yesu aliwaambia wanafunzi wake kamwe wasipatwe na aibu pale waamuapo kumfuata, lakini  Majesuiti hufundishwa juu ya kuutazama msalaba na kuacha mambo mengine yote ya ulimwenguni "kujisikia kwamba kuwa binadamu au mheshimiwa ni heshima ya duniani tu ambayo ina kiomo hapahapa duniani na si mbinguni", Papa alisema wakati wa hotuba yake katika Misa katika huko Roma katika kanisa la Gesù,katika sikukuu ya Mtakatifu Ignatius. Na pia kuwa Mtakatifu ni kuzikwa ndani yakanisa.

Msemaji wa Vatican Padre Federico Lombardi SJ alisema Misa ilikuwa "nzuri sana na ya kifamilia". Katika mapokeo yake ya kiroho, alisema, Papa anaonekana  kama "mwana wa Mtakatifu Ignatius" na anahisi "kuwa Papa Francis hupenda sana kuwa karibu na jamii ya Yesu". 
kwahabari zaidi tembelea;http://www.catholicherald.co.uk/news/2013/08/01/we-must-ask-for-the-grace-of-shame-pope-francis-tells-fellow-jesuits/

Imewekwa na Happy Adam
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment