Writen by
sadataley
8:32 PM
-
0
Comments
Maafisa huko Mali wanatarajiwa kutoa matokeo ya muda ya uchaguzi wa rais nchini humo alhamisi.
Muunga mkono wa mgombea Ibrahim Boubacar Keita akishikilia bendera kabla ya chama chake.
Upigaji kura wa jumapili ulionekana kama hatua ya kwanza kuelekea kwenye kurejesha Mali katika hali ya kawaida baada ya machafuko ya mwaka mmoja na nusu.
Jumanne waziri wa tawala za kieneo Kanali Moussa Sinko Coulibaly matokeo ya mwanzo yanaonyesha mgombea anayeongoza ni waziri mkuu wa zamani Ibrahim Boubacar Keita alikuwa akiongoza kwa kiasi kikubwa na anaweza kushinda bila taabu.
Hakueleza tofauti hiyo ya ukubwa lakini alisema kama ikibaki hivyo hakutakuwa na uchaguzi wa marudio.
Imewekwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment