Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, July 29, 2013

TANZANIA KUPAA KIUCHUMI 2025

Na Fatuma Mshamu SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais Tume ya Mipango imesema hadi kufikia mwaka 2025 Tanzania itafikia hadhi ya nchi zenye kipato cha kati na kuondokana na umaskini uliokithiri.Hayo yameelezwa jana Jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Joyce Mkinga alipokuwa akifafanua juu ya mpango wa maendeleo wa mwaka 2025. Alisema, malengo makuu ya mpango huo ni kuwaletea wananchi maisha bora kudumisha utawala wa sheria na kujenga uchumi imara wenye uwezo wa kukabiliana na ushindani.Alisema matokeo ya mapitio ya Dira ya Taifa ya maendeleo yameonyesha.
Kwa habari zaidi ingia http://majira-hall.blogspot.com/2013/07/tanzania-kupaa-kiuchumi-2025.html
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment