Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, July 29, 2013

SHERIA ZA WAZEE KUPITIWA UPYA

Fatuma Mshamu na Revina John 
TUME ya Kurekebisha Sheria Tanzania imeanza kupitia mfumo wa sheria wa huduma za jamii kwa wazee kwa nia ya kubaini udhaifu uliopo kwenye mfumo huo na kutoa mapendekezo stahiki utakaolenga ustawi na hadhi kwa kundi hilo.Ofisa Habari na Mawasiliano wa Tume hiyo, Munir Shemweta alisema wazee wanapofikia umri mkubwa uwezo wao wa kujishughulisha hupungua na kushindwa kupata mahitaji yao muhimu ya kila siku. "Tume imeona umuhimu wa kuimarisha mfumo wa sheria kwa huduma za jamii kwa wazee ili kuwawezesha kupata huduma muhimu za maisha

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment