Writen by
sadataley
4:50 PM
-
0
Comments
Leo hii Baba Mtakatifu Papa Francis amelitaka Kanisa (mimi na wewe) kujihesabu kuwa linadhambi na linapaswa kumtazama Yesu(Baba wa Kanisa) pekee .Hayo ameyasema katika Misa Takatifu ya Alhamis huko Casa Santa Marta leo hii.
Mkazo ukiwa ni kuacha ubinafsi na kuona kuwa Yesu ndiye Mkombozi wa ulimwengu. Hakuna anaye samehe dhambi zaidi ya yeye(Yesu).
Hivyo tusiogope tusogee miguuni kwake yeye yupo tayari kutusaidia na kutuponya kama huyu mwenzetu. Huyo alitengwa na hakutakiwa kuwepo pale lakini kwa huruma na mapenzi ya Mungu, anamvushwa katika upinzania na kisha anapata nafasi ya kukutana na Yesu.
Mwenzetu aliondoka akiwa ameponywa vyote yaani "Mwili na Roho" na sisi tuwe tayari tutapona tu tumpe nafasi.
Chanzo:http://en.radiovaticana.va/news/2013/07/04/pope_francis:_the_courage_of_children_of_god
No comments
Post a Comment