Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 16, 2013

PAPA AFANYA ZIARA KISIWANI LAMPEDUSA KILICHOPO NJE KIDOGO YA ITALI

 Azungumzia juu ya uhamiaji katika kisiwa hicho unavyoleta wasiwasi,na pia mwanga upatikanao katika miisho ya dunia

                      Papa Francis akiwabariki waamini wa huko kisiwani Lampedusa

Ni mara tu ya baada ya ziara isiyotarajiwa ya Papa Francis huko Lampedusa katika kisiwa kidogo kilichopo Italia, wakati ziara hiyo ikfanyika kulitokea mshituko wa umeme,"  lakini kwa sababu yeye  ni mwanga katika mateso na katika matatizo ya kukosa mahali pa kuishi, " hayo yalisemwa na Askofu Mkuu Francesco Montenegro wa Agrigento, katika jimbo kuu la Sicily.

Hiyo ina maana kwamba Papa Francis alifanya ziara yake ya kwanza huko Lampedusa, hivyo kuweza kuuliza baadhi ya maswali pia aliweza kutumia vitendo katika kutilia mkazo kutokana na kile alichoweza kuuliza, na maswali hayo yaliusisha juu ya," kwenda mwisho wa dunia, na namna ambavyo watu huweza kujitenga na maskini,"hayo yalinenwa naAskofu Mkuu Montenegro, wa jimbo kuu.

Pia alisema kwamba sehemu kubwa ya ukanda wa Cisisly,Lampedusa imepakana zaidi na Afrika ikilinganishwa na namna ambavyo imeweza kupakana na Itali.
hata hivyo alisemwa kwamba vitendo vya uhamiaji katika kisiwa hicho kidogo cha Lampedusa umeweza kuendelea kwa kasi zaidi ambapo inakaliwa na watu karibu 5,000 hivyo kuweza kuleta wasiwasi juu ya kisiwa hicho kidogo.

Lakini Askofu mkuu Montenegro aliweza kueleza katika mahojiano kwamba watu wa Lampedusa waliweza kuwatambua baadhi ya wahamiaji katika maeneo hayo kutokana na kwamba waliweza kugonga milango yao.Pia alimaliza kwa kusema watu hao waliweza kuhisiwa kuwa ni wa kutoka Tunisia kutokana na kuweza kuvuka bahari ili tu kuweza kupata maeneo ambayo wangeweza kuishi.

Lakini pia Askofu Montenegro aliweza kusema kwamba linapokuja tatizo la kisiasa juu ya ulimwengu basi hilo ni jmbo la kisiasa na linaweza kutafutiwa ufubuzi na Serikali na si kanisa.

Wakati huohuo Askofu huyo aliweza kutoa mfano uliolenga namna visiwa vidogo vya kiitaliano vinavyoweza kushauri mataifa mengine juu ya tatizo la uhamiaji.
Kama ulimwengu ni nyumba, Lampedusa ni moja ya milango yake. Kupitia Lampedusa, tunaweza kupata na kuunganika ulimwenguni.
Pia Lampedusa ni mlango kwa sababu "ni asili ya kutua kwa wale ambao wanatoka barani Afrika. Ni haki ya jukwaa. Watu huweza kupita katika Lampedusa, katika kutafuta sehemu nyingine ambapo wanaweza kuunganika na kuishi pamoja, "alisema Askofu huyo..
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment