Writen by
sadataley
12:00 PM
-
0
Comments
TUYAENZI YALE MEMA YA KKKT
Hayo yamesemwa na Mchungaji Elisande Mhanga alipokuwa akihubiri katika kanisa lililopo ofisi Kuu za Dayosisi ya Iringa leo hii. Na alikuwa akikazia Mahubiri toka Mathayo 13:31-32
Pia Mchungaji Stephane Homstrom ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Uamsho Swedeni-(Sweedish Evangelical Mission) kama kijulikanavyo kwa jina la SELM. Naye amesema ni bahati na ni Neema za Mungu tu kutufikisha hapa tulipo na tunapaswa kujipanga kwa ajili ya miaka hamsini (50) ijayo
Mchungaji Elisande Mhanga
Bw. Nayman Chavalla
Katibu Mkuu KKKT-Dayosisi ya Iringa akimkaribisha Mchungaji Stephan Homstrom
ili awasalimu watumishi wa Dayosisi katika Ibada ya leo hii hapa Chapel
Katibu Mkuu wa Chama cha Uamsho Swedeni
No comments
Post a Comment