Writen by
sadataley
5:07 AM
-
0
Comments
Matukio ya Jubilii katika picha
Waliopta kuwa Maaskofu wa Dayosisi ya Kusini Kati (Makete)
Wakiwa na Mkuu KKKT ni Askofu Dr. Solomon Swalo mwenye vazi jekundu,Askofu Manyewa mwenye vazi la zambarau na Askofu wa sasa Askofu Levis Sanga mwenye vazi jeupe
Wawakilishi wa BAKWATA -Arusha wakitoa Salam zao
Askofu wa Kanisa la Kilutheri Kongo akitoa Salam
Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kilutheri Kenya akitoa Salam
Mkuu wa KKKT-Uganda akitoa salam
Katibu Mkuu wa Fungamano la Makanisa Duniani (LWF) akitoa salam
Mchg. Junge
Hapa akitoa zawadi maalum
Salam toka Makanisa na Vyama vya Kimisionari toka Ulaya na Amerika
Wawakilishi wa chama cha Lepzing Mission hapa Mchg. Kuger akitoa salam
Katibu wa Berlin Mision-Africa Mchg. Dr. Reihard Kees
Wawakilishi wa Chama cha DAN Mission wakitoa salam
Askofu Mkuu wa kanisa la Sweeden
Katibu wa Chama cha Uamsho Sweden Mchg. Stephane Homstrom akitoa salam
Mwakilishi wa Unite Evangelical Mission (UEM)
Mchg. Mwombeki
Askofu wa Makanisa ya United Lutheran Church German
Wawakilishi wa Lapzing Mission -German
Wawakilishi wa Danish Mission
Wawakilishi wa Kanisa la Kilutheri Marekani
Askofu wa Kanisa la Kilutheri Canada
Askofu Mkuu Mstaafu Dr. Samson Mushemba akitoa salam kwa niaba ya Maaskofu Wastaafu
Maaskofu wastaafu na Wachungaji Wastaafu
Mjane wa aliyekuwa Askofu Mkuu Dr.Sebastian Kolowa
Mjane wa aliyekuwa Askofu Mkuu Dr.Sebastian Kolowa akitoa salam
huku Mwenzi wa Mkuu KKKT Mama Askofu Dr. Gehaz Malasusa akimsiliza
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akitoa Salam maalum za Jubilii
No comments
Post a Comment