Writen by
sadataley
1:44 PM
-
0
Comments
TAMASHA LA REDIO FURAHA 96.7FM
RADIO FURAHA INAWAKARIBISHA NYOTE KATIKA TAMASHA MAALUM LA KUSHEREHEKEA MIAKA MITATU YA REDIO FURAHA TANGU IANZE MATANGAZO YAKE HAPA IRINGA.

HIVYO UKIWA KAMA MDAU NA MMOJAWAPO WA KUCHANGIA REDIO HII HASA KATIKA KUTIMIZA KAULI MBIU YA REDIO YETU AMBAYO
Meneja wa Radio Bw. Protas Kanemela, Kasisis wa Radio Mchg. Keneth Comoro wakiwa na Carsten Skvovgaar ambaye ni Mratibu wa Danish Lutherna Mission Duniani alipotembelea studio za Redio Furaha
Meneja wa Redio akiwa na Lauson Mgani mmoja ya Watangazaji wa Redio Furaha
Watangazaji wa Redio Furaha wakiwa kazini ni Noel kaguo na Lauson Mgani hapa wakiwa kazini
"NI KUTANGAZA INJILI KWA WATU WOTE"
No comments
Post a Comment