Writen by
sadataley
7:46 PM
-
0
Comments
KAZI YA UMISIONI HUKO ULAYA
Mbele kabisa ni mnara unaoelezea wa namna Makumira ilikotoka
Mchg.ALPHAEUS MLAY akitoa mada
Askofu Dr. Stephen Munga akitoa itikio la mada hiyo
"HAYA NI WAKATI WA CHAI" sauti ya Katibu Mkuu KKKT ilisikika
Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Iringa tayari kwa kifungua kinywa
Wageni mbalimbali wakijumuika kupata chai
Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo wakati wa chai
Haya na tufurahie chai ni maneno ya baadhi ya wajumbe yalisikika
Wengine wakipata chai, Mabanda ya maonyesho yaliendelea kutembelewa
Mama Rachel Ramadhani akiwa na Naibu Katibu Mkuu Fedha na Utawala Bw. Abel Mrema
No comments
Post a Comment