Writen by
sadataley
11:19 AM
-
0
Comments
KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA
DAYOSISI YA IRINGA
LATEMBELEWA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA
DANISH LUTHERAN MISSION (DLM) LEO HII KATIKA KANISA DOGO LILILOPO OFISI KUU ZA DAYOSISI
HAPA WAKIWA MBELE YA KANISA TAYARI KWA KUTOA SALAM ZAO
CARSTEN SKVOVGAARD MRATIBU WA DLM DUNIANI
ROBERT REFSLUND- MRATIBU WA DLM TANZANIA
YVONNE SKOVGAARDHAPA AKITOA SALAM RASMI ZA DLM
KATIBU MKUU WA DAYOSISI BW. NAYMAN CHAVALLA AKIWAKARIBISHA
HAPA WASIMSIKILIZA KATIBU MKUU WA DAYOSISI HAYUPO PICHANI
HAPA WALIPOTEMBELEA MRADI WA MITI ULIOPO OFISI KUUMCHUNGAJI ELISANDE MHANGA MRATIBU WA MRADI MWENYE KOTI JEUPE AKIFAFANUA JAMBO
HAPA WALIPOTEMBELEA STUDIO ZA REDIO FURAHA 96.7FM
HAPA MENEJA VIINDI TUKUSWIGA MWAISUMBE AKIWA NA MENEJA PROTAS KANEMELA AKIFURAHI JAMBO LILOZUNGUMZWA NA WAGENI HAWAPO PICHANI
HAPA MENEJA WA REDIO BW. PROTAS KANEMELA AKITO MAELEZO YA KINA JUU YA REDIOHAPA KASISI WA REDIO (CHAPLAIN) AKIWA KAZINI KATIKA MOJA YA STUDIO ZA REDIO
WATANGAZAJI WA REDIO NOEL KAGUO NA LAUSON MGANI WAKIWA KAZINI
NA HAPA NI KATIKA KIPINDI CHA" HARAKATI ZA JAMII"
HAPA MENEJA AKIJIBU MASWALI YALIYOULIZWA
NI MCHUNGAJI LUSUNGU MSIGWA MRATIBU WA KITENGO CHA BEGA KWA BEGA DIRA NA HAPA NI KATIKA OFISI YAKE
HAPA WALIPOTEMBELEA DARASA LA CHEREHANI LINALOSIMAMIWA NA IDARA YA WANAWAKE NA MALEZI YA FAMILIA
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA HILO
No comments
Post a Comment