Writen by
sadataley
1:20 PM
-
0
Comments
JK Akihani Msiba wa Mabomu Arusha

Wananchi
wakimuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete
baada ya kumtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la Kanisa Katoliki
jijini Arusha Muadhama Josephat Lebulu katika makazi yake rasmi kutoa
pole kwa shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia
ya Olasiti ambako alikutana pia na Maaskofu wa Makanisa mbalimbali
waliokuwa hapo Mei 7,

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakihani msiba wa
marehemu Regina Longino Kurusei (45), mkazi wa Olasiti aliyefariiki
katika shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia
ya Olasiti jijini Arusha Jumapili iliyopita.

No comments
Post a Comment