Writen by
sadataley
5:54 PM
-
0
Comments
Leo March 17, 2018 nakusogezea stori ya moja Interview iliyofanyika ndani ya AyoTV ni ya ‘Prophet’ Daniel Shillah wa Bethel Ministry ambae inasemekana katika kanisa lake anagawa hela kwa waumini wake.
Miongoni mwa mambo aliyogusia katika Interview ni ishu ya maisha yake ya kila siku ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakisema hayaendani na utumishi, sababu ya kugawa pesa na mengine.
Millardayo
No comments
Post a Comment