Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 15, 2014

HABARI PICHA: MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU PAMOJA NA UZINDUZI WA JOSHUA GENERATION

Unaweza uita usiku wa kipekee katika historia ya kanisa la EAGT MITO YA BARAKA lililopo Kariakoo Jangwani karibu na makao makuu ya club ya Yanga, kanisa ambalo linaongozwa na Askofu Drt Bruno Mwakibolwa.

Ni usiku wa siku ya ijumaa ya tarehe 11July ambapo kundi la The Joshua Generation Tanzania liliandaa mkesha wa kusifu na kuabudu pamoja na kuzinduliwa rasmi kundi hilo. Kuanza kwa kundi hilo kunatokana na maono ya Askofu Mwakibolwa ambayo alitoka nayo Israel baada ya kukutana na kundi la Joshua Generation kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali yaliyotokea ambapo katika mkesha huo ulijumuisha watu mbalimbali wakiwemo waimbaji kama vile Kikundi cha Kusifu na Kuabudu kutoka Mito ya BarakaBashando, Chuo cha Muhimbili Mufes , TheVocapellapamoja na Masanja Mkandamizaji ambaye alihubiri

KIKUNDI CHA KUSIFU NA KUABUDU MITO YA BARAKA




BASHANDO NAYE ALIMTUKUZA MUNGU



WANAFUNZI WA CHUO CHA MUHIMBILI MUFES NAO HAWAKUBAKI NYUMA








THE VOCAPELLA WALIMTUKUZA MUNGU KWA SAUTI ZAO ZILIZOPANGILIWA







HAWA HAPA SASA THE JOSHUA GENERATION TANZANIA WAKIINGIA KWA AWAMU YA KWANZA





MUSICIAN WA THE JOSHUA GENERATION WALIFANYIKA BARAKA
Amarido


Ezekiel Benjamini

Festo Thobias

























Lyanga Geoger mwalimu wa sauti pia mtunzi akiongoza kuimbisha wimbo



RISALA IKISOMWA

MWALIMU MKUU WA THE JOSHUA GENERATION , EZEKIEL BENJAMINI




EZEKIEL BENJAMINI AKIMKABIDHI ASKOFU MWAKIBOLWA RISALA

ASKOFU MWAKIBOLWA NA WATU WENGINE MBALIMBAL


PRODUCER BAKUNDE ALIELEZEA LEGENDARY MUSIC


Mbunge wa jimbo la Nkenge mkoani Kagera Asssumpta Mshama akiwa na mme wake


 MASANJA AKAHUBIRI



 THE JOSHUA GENERATION WAKARUDI KWA AWAMU YA PILI











 ULIKUWA WAKATI MZURI WA KUSEMEZANA NA MUNGU







 MWISHONI WAAKAFUNGA KWA MAOMBI
Mzee wa kanisa mama Peter akifunga
Habari ni GospelKitaa
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment