Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, April 6, 2018

Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkurugenzi Mpwapwa


Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Maje kuanzia leo kwa kilichoelezwa kushindwa kutimiza majukumu yake.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Tamisemi Mussa Iyombe inasema Maje amesababishia hasara serikali ikiwamo kushindwa hata kukusanya mapato ya serikali.

"Hata makusanyo ya mwaka huu hatuhjui anapeleka wapi hadi leo amekusanya asilimia 24 tu katika halmashari ya kongwa na Mpwapwa licha ya kuwa na vyazo vingi vya mapato, Iyombe amesema Mkurugebnzi huyo kwa sasa yupo chini ya uchunguzi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment