Writen by
sadataley
10:17 PM
-
0
Comments
Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Rais kuizindua taasisi hiyo jana
Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi kabla ya kuzindua rasmi Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF) Ikulu jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kabla ya uzinduzi wa Taasisi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Dk. John Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete baada ya kuizindua rasmi Taasisi hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments
Post a Comment