Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, March 1, 2018

Mfanyakazi mwingine wa Ikulu ya Trump ajiuzulu, atoa sababu hii

Idadi inaendelea kuongezeka ya wafanyakazi wa Ikulu ya nchini Marekani kujiuzulu ambapo mwanzoni mwa Mwezi February, 2018 iliripotiwa kuwa wafanyakazi wawili wa Ikulu ya Marekani walitangaza kujiuzulu kwa sababu zilizohusishwa na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na kingono.
Wafanyakazi hao ni pamoja na Katibu wa Wafanyakazi wa Rais Donald Trump, Rob Porter na Mwandishi wa hotuba za Ikulu hiyo David Sorensen.
Sasa leo March 1, 2018 taarifa kutoka nchini Marekani zinaeleza kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na mmoja wa washauri wa karibu wa Rais Trump wa muda mrefu ajulikanaye kama Hope Hicks pia ametangaza kujiuzulu.
Hicks ameeleza sababu yake ya kujiuzulu ni kwamba, tayari ametimiza wajibu wake katika ikulu hiyo ya White House.
Millardayo
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment