Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 25, 2018

Atumbuliwa kwa kosa la kumdanganya Rais

Waziri wa maji Mhandisi Isaac Kamwele ameagiza kuondolewa kwa msimamizi wa mradi mkubwa wa maji katika kata ya Nguruka wilayani Kigoma Erick Suma baada ya mradi huo uliokuwa ukamilike mwezi Disemba mwaka jana kutokamilika hadi sasa.

Waziri Kamwelwe ambaye ametembelea mradi huo amesema msimamizi huyo wa mradi alimdanganya Rais alipotembelea mradi huo mwezi wa saba mwaka jana kwa kutoa ahadi ya kukamilika kwa wakati mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni tatu .

Aidha ameongeza kwamba licha ya msimamizi huyo kulipwa fedha zote anazodai kwa mujibu wa mkataba lakini kazi inakwenda taratibu na kuathiri maisha ya wananchi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment