Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, February 2, 2017

TAZAMA PICHA SIKU YA SHERIA MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA

jaji Mfawidhi  wa  mahakama  kuu kanda ya  Iringa Mary  Shangali  akipongezwa na mkuu wa  mkoa wa Iringa Amina Masenza  kushoto  baada ya  hotuba  yake  leo
Mkuu  wa  mkoa  wa  Njombe Christopher 
akuu  wa   wilaya ya Mufindi Wiliam Jamhuri (kushoto  waliosimama )  mkuu  wa wilaya ya  Kilolo Asia Abdallah na mkuu  wa wilaya ya  Iringa  Richard Kasesela  wakipiga picha ya pamoja na Jaji mfawidhi wa mahakama  kuu kanda ya Iringa inayojumuisha mkoa wa Iringa na Njombe  Mary  Shangali (wa  pili  kulia waliokaa) kushoto  kwake ni mkuu wa mkoa wa Njombe   Christopher Ole  Sendeka  na mkuu wa kulia kwake mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza  ,jaji Rehema Sameji na  jaji mstaafu Raymond Mwaikasu leo mara  baada ya kumalizika kwa  hafla ya  siku ya sheria  nchini
akuu  wa   wilaya ya Mufindi Wiliam Jamhuri (kushoto  waliosimama )  mkuu  wa wilaya ya  Kilolo Asia Abdallah na mkuu  wa wilaya ya  Iringa  Richard Kasesela  wakipiga picha ya pamoja na Jaji mfawidhi wa mahakama  kuu kanda ya Iringa inayojumuisha mkoa wa Iringa na Njombe  Mary  Shangali (wa  pili  kulia waliokaa) kushoto  kwake ni mkuu wa mkoa wa Njombe   Christopher Ole  Sendeka  na mkuu wa kulia kwake mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza  ,jaji Rehema Sameji na  jaji mstaafu Raymond Mwaikasu   na  mstahiki  meya  Alex  Kimbe  mara  baada ya kumalizika kwa  hafla ya  siku ya sheria  nchini
Picha ya  pamoja 
Picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama mkoa 
Picha ya pamoja  na viongozi  wa  dini
picha  ya  pamoja na mawakili 
Viongozi  mbali mbali wa mkoa  wa  Iringa na Njombe  na jaji mfawidhi wa mahakama  kuu  kanda ya  Iringa  inayojumuisha na mkoa wa Njombe Mary  Shangali ( wa  tatu   kulia  waliokaa) wakiwa katika  picha ya pamoja na msajili wa mahakama  kuu kanda ya  Iringa  Agatha Chungulu  wa sita  kutoka  kulia waliosimama pamoja na mahakimu wa mahakama  za mkoa  wa Iringa wengine  waliokaa kutoka  kulia ni mkuu wa wilaya ya  Iringa Richard Kasesela ,mkuu  wa mkoa wa Njombe Christopher Ole  Sendeka ,mkuu wa  mkoa wa Iringa Amina Masenza wa nne jaji Rehema Sameji na  jaji mstaafu Raymond Mwaikasu,mstahiki  meya wa Manispaa ya  Iringa Alex Kimbe ,mkuu wa wilaya ya  kilolo Asia Abdallah na mkuu wa wilaya ya  Mufindi Wiliam Jamhuri

Mkuu  wa  mkoa  wa Njombe  Christopher  Olesendeka  akimtambulisha  binti  yake kwa jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya  Iringa  

Habari picha kwa hisani ya Matukio blog

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment