Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, February 1, 2017

Israel kujenga makaazi 3000 zaidi huko West Bank

Makaazi mapya ya Israel yaliopo katika eneo la West Bank

Haki miliki ya pichaAFP
Image captionMakaazi mapya ya Israel yaliopo katika eneo la West Bank
Taifa la Israel limetengaza mipango ya kujenga makaazi 3000 zaidi katika ene la West Bank .
Hatua hiyo inajiri baada ya serikali kuidhinisha ujenzi wa nyumba 2500 na nyengine 100 zaidi mashariki mwa Jerusalem.
Wapalestina wanadai umiliki wa maeneo yote mawili.
Awali jeshi la Israel lilikuwa linajiandaa kutekeleza operesheni ya agizo la mahakama ya kuwandoa walowezi waliojenga katika eneo la Amona katika eneo la West bank.
Siku ya Jumatatu wakaazi walipewa makataa ya saa 48 kuondoka. 
Walowezi hao waliokuwa wamejenga katika ardhi ya Palestina .
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment