Writen by
sadataley
7:50 PM
-
0
Comments
Rais Bill Clinton na Mkewe Hillary Clinton tayari kushuhudia tukio hili kubwa la kuapishwa Rais Mteule Trump linalofanyika hapa Washington.

Rais Clinton na Mkewe Hillary
18:07
Hivi sasa viongozi wa Rais mteule wanaanza kuwasili katika Sherehe hizi za kuapishwa hapa katika eneo la Bunge la Marekani.

Rais mteule Donald Trump
17:57
Kama tunavyojua kuwa sherehe za kuapishwa Rais mteule zinafanyika katika ngazi za Bunge la Marekani. Kuanza kufika kwa rais wazamani kutaendelea pamoja na viongozi wengine kushuhudia tukio hili kubwa la kihistoria

Rais Bush
No comments
Post a Comment