Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, January 29, 2017

TAZAMA JINSI WALIVYOOKOLEWA WAKIWA HAI WACHIMBAJI WALIOFUKIWA NA KIFUSI JUZI

Raia  wa China  akimsaidia  mwenzake  aliyefukiwa na  kifusi  pamoja na  wachimbaji wengine  wadogo wa Kitanzania  15 ambao wote wameokolewa wakiwa hai ,watu hao walifukiwa na kifusi  juzi katika Mgodi wa Geita 
Huu  ndio ujumbe  walioutuma baada ya kufukiwa wakiomba msaada 
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment