Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, January 26, 2017

Tanzania kupewa dola milioni 305 kupanua bandari Dar es Salaam

Matatizo katika bandari huigharimu Tanzania mamilioni ya dola kila mwaka

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMatatizo katika bandari huigharimu Tanzania mamilioni ya dola kila mwaka
Tanzania inasema kuwa itapokea dola milioni 305 kama mkopo kutoka kwa Benki ya Dunia, kugharamia upanuzi wa bandari kwenye mji wa Dar es Salaam.
Bandari hiyo ndiyo inaunganisha mataifa ya Afrika ambayo hayapakani na bahari yakiwemo Zambia, Rwanda, Malawi, Burundi na Uganda na pia eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.
Benki ya Dunia ilisema katika ripoti ya mwaka 2014 kwa matatizo kwenye bandari ya Dar es Salaam yalikuwa yakiigharimu Tanzania na majirani zake hadi dola milioni 2.6 kila mwaka.
Chanzo: BBC Swahili
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment