Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, January 25, 2017

Papa amtimua kiongozi wa dini kwa kusambaza kondomu.

Mathew Festing na Papa Francis

Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMathew Festing na Papa Francis
Kiongozi wa kanisa katoliki anayewasaidia raia wa Malta amejiuzulu kufuatia mgogoro na Vatican kuhusu mpango wa kusambaza mipira ya kondomu kulingana na kanisa hilo.
Mathew Festing mwenye umri wa miaka 67 alijiuzulu baada ya papa Francis kumtaka kufanya hivyo katika mkutano siku ya Alhamisi.
hatua hiyo inafuatia ufichuzi kwamba tawi la hisani la kanisa hilo huko Malta lilisambaza maelfu ya mipira ya kondomu katika taifa la Myanmar.
Kanisa katoliki linakataza utumizi wa mipira ya kondomu.Papa Francis alimtaka kujiuzulu na alikubali.
Tawi hilo la Malta lina uwezo mwingi kama ule wa taifa zima. Hutoa pasipoti, stampu na leseni na pia lina uhusiano wa kidiplomasia na mataifa 106 ,ikiwemo Vatican.
Ijapokuwa tawi hilo linaonekana kuwa na wanaume pekee, viongozi wake sio wanaume pekee.
Kufikia 2013 wanawake walikuwa asilimia 30 wakijulikana kama Dames.
Kundi hilo lilo katika kuondoa sura yake ya kibwenyenye na kuvutia vipaji ili kuendelea kazi zake za kibinaadamu.
Chanzo: BBC SWAHILI
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment