Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, January 26, 2017

Ma RC, DC waagizwa kuhakikisha wanachukua hatua dhidi ya tatizo la watoto waishio katika mazingira hatarishi nchini.

SEDO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akizindua kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji wa Sera za Huduma kwa watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID)  nchini Tanzania Tim Donnay, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na Msaidizi wa Waziri wa Nchi TAMISEMI Bi.
SEDO 1
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando  akimkabidhi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam   kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji wa Sera za Huduma kwa Watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula (wapili kulia).
SEDO 2
 Baadhi ya washiriki wa mkutano baina ya USAID na TAMISEMI uliofanyika katika ofisi za TAMISEMI jijini Dar es Salaam wakifuatilia hoja kutoka kwa wasilishaji wa mada leo jijini Dar es Salaam.
SEDO 3
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Andrew Komba akichangia mada wakati wa mkutano baina ya TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na motto leo jijini Dar es Salaam.
SEDO 4
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay mara baada ya kumaliza mkutano kuhusu Afya ya Mama na Mtoto leo jijini Dar es Salaam.
SEDO 5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa  mkutano baina ya TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na mtoto leo jijini Dar es Salaam.Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID)  nchini Tanzania Tim Donnay,  Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando. 

WAKUU waMikoanaWilayanchiniwametakiwakuhakikishawanatafutaufumbuziwakudumuwatatizo la watotowanaoishikatikamazingirahatarishinakuachakufanyakazikwamazoea.
Agizohilolimetolewana Waziri waNchiOfisiyaRais, TawalazaMikoanaSerikalizaMitaa (TAMISEMI) George Simbachawenewakatiakizungumzanawanaandshiwahabaribaadayakumalizamkutanowa pili wamajadilianobainaya TAMISEMI naShirika la Maendeleo la Marekani (USAID) pamojanauzinduziwaMuongozowaTaifawaUtekelezajiwa Sera zaHudumakwawatotowaliokatikamazingirahatarishileojijini Dar es Salaam.
“Sera yaugatuajiwamadarakainaipamamlakaOfisiyaRais – TawalazaMikoanaSerikalizaMitaa (TAMISEMI)kuhakikishawatotowanaishikatikamazingirasalama, natoawitokwaWakuuwotewaMikoanaWilayanchinikutimizawajibuwaokwakushugulikiachangamotozawatotowamitaani,” alisemaSimba Chawene.
SimbachawenealiongezakuwaSerikalizaMitaazinaowajibuwakuwahudumiawatotowanaoishikatikamazingiramagumukwandiyowatekelezajiwa sera mbalimbaliikiwemo sera yawatoto, viongoziwaSerikalizaMitaawasiishietukuwaondoawatotomitaanibilayakutafutakiininasuluhisho la tatizo hilo.
AidhaSimbachaweneamempongezaKatibuMkuuwaWizarayaAfya, MaendeleoyaJamii, Jinsia, WazeenaWatotokwakazinzuriyautafitiambayoimebainikuwarasilimalinyingizinazotengwakwaajiliyakuhudumiaafyaya mama na motto haziwafikiiwalengwaambapoamesemakuwahiyonichangamotokubwa.
Aliongezakuwa SerikaliyaAwamuyaTanochiniyaRais Magufuli inasisitizauwazinauwajibikajihivyopanapoteakuwauzembeunatokananautendajimbovumiongonimwetu sivyema tukafumbia macho badalayakeinapaswatusemeukweliiliwahusikawajirekebishenakuchukuliwahatuastahiki.
Habari na picha kwa hisani ya  Frank Shija – MAELEZO.

Na: Frank Shija – MAELEZO
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment