Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, June 6, 2015

UK:Hatuna haja kuandaa dimba la 2018

Shirikisho la soka nchini Uingereza FA limesema kuwa halina haja ya kuandaa kombe la dunia la mwaka 2018 ama lile la mwaka 2022 nchini Qatar iwapo mataifa yanayoandaa yatapokonywa fursa hiyo. Maafisa wa mashtaka wa Uswizi wanachunguza zabuni za michuano hiyo ,ijapokuwa FIFA inasema kuwa hakutakuwa na ushindani mwengine wa kutolewa kwa zabuni hizo. Katibu wa utamaduni nchini Uingereza John Whittingdale anasema kuwa Uingereza huenda ikachukua maandalizi ya kombe hilo iwapo itaombwa kufanya hivyo. Lakini afisa mkuu wa shirikisho la FA Martin Glenn amesema kuwa Uingereza haina haja. Akizungumza na SkyNews,Glenn ameongezea kwamba michuano hiyo ya mwaka 2018 itaandaliwa na Urusi kwa njia nzuri.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment