Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, June 6, 2015

Mwana wa Mugabe apatikana na hatia

Mwana mkubwa wa kiume wa mke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe amepatikana na hatia ya kuua bila kukusudia na kupigwa faini ya dola 800. Russell Goreraza alimgonga na kumuua mwanamume mmoja ambaye hakutambuliwa katika gari lake katika mji mkuu wa Harare manmo mwezi Februari. ''Ninajuta na ningependa kuomba msamaha kwa kitendo hicho'', Kijana huyo wa miaka 31 aliimbia mahakama. Hakimu huyo alisema kuwa aliamua kuifutilia mbali leseni ya kijana huyo na kumpatia hukumu ya kifungo cha jela lakini akabadilisha nia yake kutokana na majuto yake. Douglas Chikwekwe amesema kuwa hatua kwamba Goreraza alitekeleza kitendo hicho kwa mara ya kwanza pia kuliathiri uamuzi wake.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment