Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Tuesday, May 5, 2015

Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi

Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura . Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti. Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa. Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu. Chanzo: BBC
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment