Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, May 5, 2015

Somalia:Alshabaab lapewa jina jipya

Utawala nchini Somalia umeviamrisha vyombo vya habari nchini humo kulipa kundi la wanamgambo wa Al Shaabab jina jipya. Serikali ya Somalia inataka Al Shaabab kupewa jina la kundi linalowaua watu wa Somalia. Mkuu wa kitengo cha kitaifa cha ujasusi nchini Somalia (Abdirahman Mohamud Tur-yare) anasema kuwa jina Al Shabaab ambalo humaanisha vijana, haliwezi kuhusishwa na wanamgambo. Alisema kuwa kundi hilo linastahili jina hilo kwa kuwa linaendelea kuwaua watu zaidi. Nalo likijibu amri hiyo,Alshabaab limesema kuwa raia wa Somalia wanafaa kuiita serikali ya Somalia kama inayowafedhehesha raia wake. 0717 751456
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment