Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, May 6, 2015

Aliyetoa siri ya ngono CAR kurudi kazini.

Mahakama ya Nidhamu ya Umoja wa Mataifa imetoa hukumu ya kwamba adhabu ya kusimamishwa kazi kwa Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kwa kosa la kutoa taarifa iondolowe mara moja. Afisa huyo Anders Kompass, alitoa taarifa kwa mamlaka za Ufaransa kwamba majeshi ya Ufaransa ya kulinda ya amani huko Jamuhuri ya Afrika ya Kati walihusika kuwanajisi watoto. Ataruhusiwa kurudi kazini mara baada ya shauri lake kupitiwa na maafisa wa ndani ya shirika hilo. Umoja wa mataifa umekanusha kutaka kufunika tuhuma hizo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment