Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, May 2, 2015

Niqab yapigwa marufuku Congo Brazaville

Jamuhuri ya Congo- Brazaville imepiga marufuku vazi la Niqab katika maeneo ya umma. Aidha mamlaka hiyo imewaonya raia wa kigeni ambao ni waislamu kusalia misikitini nyakati za usiku. Serikali imetetea hatua yake na kusema inanuia kukabiliana na ugaidi. Maelfu ya wakimbizi wa Kiislamu kutoka nchi jirani ya jamhuri ya Afrika ya Kati wamekimbilia Congo- Brazzaville na wamekua wakipata hifadhi misikitini. Nchi hiyo ina chini ya asilimia tano ya raia waumini wa kiisilamu. Hii ndio nchi ya kwanza Afrika kuchukua hatua hii.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment