Writen by
sadataley
5:25 PM
-
0
Comments
 |
| Mchungaji Harris Kapiga akifundisha katika ibada hiyo. |
Mchungaji Kiongozi wa Nchi ya Ahadi (Harris Kapiga ambaye pia ni
mtangazaji wa Clouds Fm) siku ya jana katika ibada yake aliandaa maalumu
kwaajili ya kuvunja roho za mauti kwa wasanii wa filamu nchini kutokana
na roho ya mauti iliyowagubika siku za hivi karibuni ikishuhudiwa
waigizaji watatu wakiaga dunia.
Maombi hayo pia yalikua maalumu kuwaombea ulinzi,umoja na wote
wanaotamani kuingia katika tasnia ya filamu Tanzania. Ibada hiyo ya
wasanii wa bongo movie iliwakilishwa na Rais wa shirikisho la filamu
Tanzania (TAFF) Saimon Mwakifamba.wasani wengine waliofika pamoja na
waimbaji Bahati Bukuku,Dotnata na Mfue na wengineo.
 |
| Bahati Bukuku akimwaibisha shetani kwa sifa kwa Mungu wake. |
 |
Mwigizaji ambaye pia ameokoka kwasasa mwanamama Dotnata akiwa uweponi.
|
 |
| Mama mchungaji Kapiga akifanya maombi kanisani hapo. |
 |
| Samson Mwakifwamba akiwa katika hali ya maombi. |
No comments
Post a Comment