Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, February 24, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI IKULU, DAR ES SALAAM



 





























Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni  Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa. 
 



















Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa  Waziri wa Mambo ya
 Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.  

















Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  na ujumbe wake walipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa. 

Chanzo:ccm blog
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment