Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, February 27, 2014

BODI YA CHUO CHA UINJILISTI KWA WAFUGAJI CHA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA DAYOSISI YA IRINGA KINACHOTOA ELIMU HIYO KWA DAYOSISI ZA UKANDA WA KUSINI CHAFANYIKA LEO HII.KATIKA BODI HIYO AZIMIO MOJAWAPO LIMEKUWA NI KUONDOKANA NA UTEGEMEZI.

AKIFUNGUA KIKAO CHA BODI LEO HII MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA MOROGORO MCHUNGAJI GEORGE PINDUA AKINUKUU AKITUMIA MANENO TOKA YOHANA 12:26  HUKU AKITOA MKAZO KWA WIMBO NAMBA  74:1 
“Bwana Uliyewaita Watakatifu wako”
o   Mungu huwaheshimu wale wote wanaomtumikia, cheo na utajiri havina maana kama huna Mungu.
o   Mtu aliyekubali kumfuata na kumtumikia  Yesu ataheshimiwa na Mungu.
o   Haiwezekani kama ukakubali kutumika na usipatane na Yesu(Ni lazima ubebe habari za Yesu).
o   Ni lazima kutembea pamoja Amosi 3:3
o   Tunapaswa kubeba habari za Yesu.
o   Changamoto ndani ya Kanisa leo hii, mfumuko wa manabii katika Kanisa . Kibiblia Nabii hajengi Kanisa leo wanajenga Makanisa
Nabii anasema ndoto za Mungu lakini leo wanasema maneno yao
o   Ili tuheshimiwe ni lazima tubebe heshima ya Mungu.
o   Msitafute heshima kwa kulazimisha,wengine leo hii wanatumia mafuta ya mizeituni,kutumia maji, chumvi
o   Tumtumikie Mungu, tukimtumikia naye atatuheshimu.
o   Mungu amesema “Lisha Kondoo Zangu” na kuchunga pia



  MSAIDIZI WA ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA IRINGA MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKIWAKARIBISHA WAJUMBE LEO HII HAPA  CHUONI ILAMBILOLE
       MRATIBU MSAIDIZI WA MUWA  MMISIONARI MCHUNGAJI SAMWEL MUCK  AKISALIMU WAJUMBE
    MRATIBU WA MUWA MCHUNGAJI PAUL KURUASHI AKISOMA TAARIFA KWA WAJUMBE WA BODI

    MKUU WA CHUO AKISOMA TAARIFA YA CHUO KATIKA KIKAO CHA BODI 
    AFISA UTUMISHI WA K.K.K.T DAYOSISI YA IRINGA MCHUNGAJI YUSTO KINYOA AKIFUATILIA KIKAO CHA BODI LEO HII HAPA ILAMBILOLE
     WAMISIONARI TOKA DENNMARK WAKIWA NA MSAIDIZI WA SKOFU WA MOROGORO MCHUNGAJI GEORGE PINDUA
                       DEAN BLASTONE GAVILE AKIFURAHIA MOJA YA HOJA ZILIZOTOLEWA
    BAADHI YA WAJUMBE WA BODI NA HAPA NI MCHUNGAJI OSWALD NDELWA, MMILIKI WA BLOG HII MCHUNGAJI KURWA SADATALEY NA MCHUNGAJI BENITHO MADEMBO

     WAMISIONARI WAKIFUATILIA AGENDA ZA BODI HII LEO




   
    MMOJA WA WAJUMBE AKICHANGIA HOJA
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment