Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, January 5, 2014

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA ENEO AMBALO DR MGIMWA ATAZIKWA LEO

Mafundi   wakiendelea na ujenzi wa choo cha muda  nyumbani kwa  Dr Mgimwa  leo
Waziri  mkuu  Mizengo  Pinda  katikati  mwenye  miwani akiwa na  viongozi mbali  mbali  wa chama na serikali ya mkoa  wa Iringa wakitazama  maandalizi ya  mwisho ya  ujenzi  wa kaburi  la Dr  Wiliam Mgimwa  nyumbani  kwake Magunga  jimbo la kalenga  leo
Mama  mzazi  wa  Dr Mgimwa  Consolata Semgovano  mwenye gauni  la  kijani akiwa na  waombolezaji  wengine  kijijini kwa Mgimwa

HABARI NA PICHA KWA HISANI YA http://www.matukiodaima.com/
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment