Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, December 22, 2013

Morsi alimbikiziwa mashtaka zaidi

Maafisa wa mashtaka wa Misri wanasema rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Morsi, atafikishwa mahakamani kwa makosa ya kutoroka jela wakati wa maandamano ya mwaka wa 2011 dhidi ya Rais Hosni Mubarak.Moh'd Morsi akitokeza mahakamani
Watu wengine 132 watakabili mashtaka kama hayo, pamoja na kuwauwa walinzi wa gereza.
Washtakiwa wengine ni viongozi wa chama cha Bwana Morsi, cha Muslim Brotherhood, shekhe mmoja Yousef al-Qaradawi na wafuasi wa chama cha Wapalestina cha Hamas na cha Libnan, Hezbollah.
Bwana Morsi, rais wa kwanza wa Misri kuchaguliwa kwa misngi ya kidemokrasia, alitolewa madarakani na jeshi mwezi Julai.
Tayari Bwana Morsi anafanyiwa kesi kwa kuchochea mauaji ya wanaharakati wa upinzani wakati wa utawala wake wa mwaka mmoja
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment