Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, December 27, 2013

MBUNGE FILIKUNJOMBE ATIMIZA AHADI YAKE KANISANI KAMA ALIVYOAHIDI

Mbunge wa Ludewa mkoani Iringa kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Deo Filikunjombe ametimiza ahadi yake aliyoahidi kwa kanisa Anglikana lililopo Ilela Ludewa baada ya kuwakabidhi kinanda aina ya Yamaha pamoja na mifuko 20 ya saruji katika ibada iliyofanyika kanisani hapo na kuhudhuriwa na waumini na viongozi wa chama chake cha mapinduzi pamoja na mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madaha.
Mbunge Deo Filikunjombe akizungumza ibadani hapo.
Akikabidhi kinanda kwa Canon Ngoye kwa matumizi ya usharika.
Mbunge Deo Filikunjombe akimkabidhi mifuko ya saruji mchungaji wa kanisa hilo Canon Ngoye kanisani hapo. Picha zote na Francis Godwin.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment