Wengi huwa na mkesha wa kumaliza mwaka tarehe 31 Disemba kuamkia mosi Januari mwaka mpya, ila kwa Word Alive Center iko tofauti, kwani wao humaliza mwaka wiki moja kabla, na hapa ni ibada ya mkesha wa kumaliza mwaka kama ilivyofanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo Mchungaji kiongozi, Deo Lubala alihubiri alielezea namba 12 kuwa namba ya kiuongozi, na kisha kutoa neno la kinabii wka mwaka 2014 kuwa mwaka wa kibali maradufu.
Tazama picha kama ambavyo mkesha huo ulikuwa, video zake zitakujia kama kawaida kupitia ukurasa wetu wa
youtube.
 |
| Taswira ya jukwaa mbali. |
 |
| Mchungaji Kiongozi, Deo Lubala akisifu pamoja na umati. |
 |
| Praise team ikijituma jukwaani kwa utukufu wa Mungu. |

 |
| Angel Bernard akiongoza ibada ya kumuabudu Mungu |
 |
| Yes LORD |
 |
| Aaaaaaaaameeeeeeeeen |
 |
| Pastor Billionare jukwaani akisalimu watu. |
 |
| Technical bench |

 |
| Blogger Rulea ndani ya nyumba |

 |
| Jesca wa Boniphace akiwajibika madhabahuni |

 |
| Sasa ni saa ya kumpokea Yesu kama BWANA na mwokozi wa maisha yetu. |
 |
| DPC Rivers of Life wakifanya mambo yao. |


 |
| Praise team ikichangamnsa umma. |
 |
| Te Amo... |
 |
| Pilipili haiwashi... |
 |
| ...pilipili inachekesha, mwe. |
 |
| Living Waters jukwaani |
 |
| Karibu Word Alive Center, Sinza. |
No comments
Post a Comment